Wanajeshi wa Tanzania watunukiwa medali za amani

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wa Tanzania wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia watunikiwa medali za amani ikiwa wako katika matayarisho ya kurejea Tanzania na wenzao wanatarajiwa kuwasili hivi karibuni.