Wanaharakati wasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wengi wanapitia msongo wa mawazo baada ya kujifungua, wengi wao wakijikuta katika hali ngumu zaidi kwa kukosa msaada wa mapema.Watetezi wa wanawake na hasa wa Afya ya akili wanasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu na inahitaji wanawake zaidi kuzungumzia matatizo yao mapema.