Wanaharakati Kenya wajitolea kumaliza ukeketaji

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati Kenya wajiunga katika msukumo wa serikali kumaliza ukeketaji (FGM) wakati takwimu zikionyesha idadi ya kesi za FGM ziliongezeka katika jamii za Kisomali wakati wa janga la corona.