Wanaharakati DRC walalamikia mfumo wa mahakama ya Kijeshi

Your browser doesn’t support HTML5

Makundi ya kutetea haki za binadamu yakosoa hatua za kuweka mahakama za Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo chini ya usimamizi wa jeshi.