Ungana na mwandishi wetu akukuletea taswira kamili ya hali ilivyo katika bara hilo na nchi gani zimeshuka zaidi katika ukiukaji wa uhuru wa vyombo vya habari unaofanywa na serikali mbalimbali. Endelea kusikiliza.
Uhuru wa waandishi Afrika washuka kwa kiwango kikubwa- Ripoti
Your browser doesn’t support HTML5
Ripoti ya Waandishi Wasio na Mipaka inaonyesha kushuka kwa kiwango kikubwa kwa uhuru wa waandishi wa habari barani Afrika.