Wanafunzi wa Tanzania waeleza mashambulizi Ukraine, wajificha katika handaki

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanafunzi wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Kharkiv aeleza wamekwama nchini Ukraine kwa sababu Russia imeanza Alhamisi kushambulia nchi hiyo.