Wanachama wa WHO wakubaliana kukabiliana na janga la corona

Your browser doesn’t support HTML5

Nchi Wanachama wa Shirika la Afya Duniani, WHO, wamekubaliana kuanza kujenga ushirikiano wa kimataifa katika namna ya kukabiliana na janga la virusi vya corona.