Wamarekani washeherekea sikukuu ya Thanks Giving

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani washeherekea sikukuu ya "Thanks Giving" huku maambukizi ya corona yakiongezeka.
Waziri Mkuu wa Ethiopia asema operesheni inaanza Alhamisi baada ya serikali yaka kutoa fursa kwa wanajeshi kujisalimisha huko Tigray.

Washabiki wa soka ulimwenguni wamlilia nguli wa soka Maradona.