Wamarekani waridhika Chauvin kupatikana na hatia

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani wanaeleza kuridhika na kufurahia uwamuzi wa baraza la mahakama wa kumpata na hatia afisa wa zamani wa polisi Derek Chauvin na hatia ya mauwaji ya mmarekani mweusi George Floyd mjini Minneapolis.