Wamarekani wajumuika kusheherekea sikukuu ya Thanksgiving
Your browser doesn’t support HTML5
Wamerakani siku ya Alhamisi wamesheherekea sikukuu kubwa ya kutoa shukran huku familia na marafiki wakikutana pamoja kwa mlo wa kitamaduni wenye kitoeo cha bata mzinga.