Wamarekani wajitokeza mapema Jumanne kupiga kura

Your browser doesn’t support HTML5

Ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi la kupiga kura nchini Marekani, wananchi wa Marekani wajitokeza mapema Jumanne kupiga kura kuchagua nani atakuwa rais ajaye nchini.