Wamarekani Waislam wapongeza amri mpya ya kusafiri

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani Waislam wamepongeza amri ya kiutendaji ya Rais Biden kubadili masharti ya kusafiri yaliyo wekwa na Rais wa zamani Donald Trump.