Wamarekani waandamana kupinga amri ya kutotoka nje

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wananchi katika majimbo ya kadhaa Marekani wameandamana wakidai kuwa amri ya kutotoka nje kutokana na COVID-19 inavunja haki zao za kikatiba.