Wamarekani waadhimisha Krismas katika mazingira magumu

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya vifo kuendelea kuongezeka nchini Marekani kutokana na maambukizi ya COVID-19 kumefanya sikukuu ya Krismas mwaka huu kuadhimishwa katika mazingira magumu.