Waliofariki janga la Madagascar, Msumbiji na Malawi wafikia 70.

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa serikali hizo wanasema wangali wanatathmini hasara zilizotokana na mvua nyingi zilizoanza tangu wiki iliyopita kabla ya kimbunga kupita katika ahari ya Hindi kuelekea Malawi.