Walinda amani watatu wa UN wauawa Mali

Your browser doesn’t support HTML5

Walinda amani watatu wa Ivory Coast katika kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini Mali wameuliwa katika shambulizi lililofanywa jana jioni na kundi lenye silaha.