Walinda amani wa UN waikabidhi Sudan kambi ya wakimbizi Darfur

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Sudan imekabidhiwa kambi ya wakambizi ya Darfur ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya maandalizi ya walinzi wa UN kuondoka katika eneo la Darfur