Walebnani wafurahia kujiuzulu Hariri

Your browser doesn’t support HTML5

Walebnani wajitokeza barabarani kusheherekea kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Hariri
-Waandamanaji washeherekea kujiuzulu kwa Waziri Mkuu, Jumanne, nchini Lebanon.

-Maandamano ya kushinikiza kujiuzulu kwa Hariri na serikali yake yameendelea kwa kipindi cha wiki mbili na kusimamisha shughuli zote