Wakulima waiomba serikali kuyalında mashamba yao ya mawese

Your browser doesn’t support HTML5

Wakulima mjini Beni, Kivu Kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waiomba serikali kuimarisha usalama kutokana na mashamba yao ya mawese kuvamiwa na waasi wa ADF