Wakulima Kenya wasema biashara ya kahawa Imedorora

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya ahadi kutoka kwa viongozi wa Kenya kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa bado wakulima wa kahawa wanadai biashara yao inaendelea kudorora kutoka na mabadiliko hayo.