Wakulima India wapambana na polisi kupinga sheria mpya za kilimo

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya wakulima nchini India wamepambana na polisi katika jimbo la Haryana, Alhamisi, Novemba 26, wakishinikiza kufutwa sheria mpya za kilimo.