Wakimbizi wa Ethiopia nchini Sudan wakabiliwa na mlipuko wa COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Wakimbizi wa Ethiopia waliokimbia vita katika jimbo la Tigray na kuingia Sudan kutafuta hifadhi hivi sasa wanakabiliwa na maambukizi ya mlipuko wa COVID-19 katika kambi hizo.