Wakimbizi wa DRC nchini Kenya wasisitiza serikali yao kuimarisha amani

Your browser doesn’t support HTML5

Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanaitaka serikali yao kuimarisha usalama ili waweze kurejea nyumbani.

Wakimbizi hao waliandamana wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa amani huku wakipaza sauti kusisitiza amani...