Moto huo uliteketeza sehemu kubwa ya kambi kubwa zaidi kuliko zote ya wakimbizi nchini Ugiriki mapema Jumatano, na kuwahamisha maelfu ya wakimbizi na wanaoomba hitachi wakati kuna mlipuko wa COVID-19 katika kambi mote.
Wakimbizi Ugiriki wakabiliwa na janga la moto na COVID-19
Your browser doesn’t support HTML5
Moto uliozuka katika kambi ya wakimbizi kwenye kisiwa cha Ugiriki cha Lesbos, Jumatano, Septemba 9, na kuwalazimisha maelfu kuhama makazi yao ya muda.