Wakimbizi nchini Afrika Kusini wasema maisha yao yako hatarini

Your browser doesn’t support HTML5

Wakimbizi wamepaza sauti zao wakiomba wahamishwe na kuwa wamechoka kuishi Afrika Kusini taifa lenye ubaguzi kwa raia wa kigeni na maisha yao yako hatarini.