Wakimbizi Kenya wafurahia sheria mpya iliyosainiwa na Kenyatta
Your browser doesn’t support HTML5
Wakimbizi wapongeza sheria mpya iliyosainiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ikielezwa itawawezesha kushiriki maisha ya eneo, kupata ajira na shughuli za uchumi nchini humo.