Wakenya watathmini mtafaruku ulioko baina ya Kenyatta na Ruto

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya watoa maoni yao juu ya mtafaruku ulioko baina ya viongozi wa juu wa taifa hilo, Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto.