Wakenya washikilia uamuzi wa mahakama dhidi ya BBI
Your browser doesn’t support HTML5
Wananchi wa Kenya na wachambuzi wa siasa nchini humo wanaendelea kushikilia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa uliopinga mswaada wa kubadilisha katiba kwa msingi wa kuwa unakiuka katika ya sasa ya nchi hiyo.