Wakazi wakimbia vita kati ya majeshi ya DRC na waasi wa M23

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa maeneo mbalimbali ya vijiji vilivyo karibu na Kibumba karibu na pori la Virunga nchini DRC wanakimbia kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya majeshi ya Serikali na waasi wa M23.

Hii ni baada ya majeshi ya serikali kurudi nyuma na hivyo kuwalazimu raia hao kuhama vijiji vyao wakihofia kupoteza maisha yao. Ungana na mwandishi wetu akiwahoji wakazi hao...