Wakazi waitaka serikali kuwarudisha ndugu waliokwama Msumbiji

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa mpakani mwa Tanzania na Msumbiji, hasa mkoa wa Mtwara, waiomba serikali kuwarejesha ndugu zao wanaoishi Msumbiji.
- Kenya inakabiliwa na uhaba wa dawa za kudhibiti makali ya virusi vya Ukimwi

- Wakazi wa kaskazini mashariki ya Congo wameanza leo mgomo wa siku 10 wakishinikiza Tume ya kulinda amani ya UN, MONUSCO kuondoka.