Wakazi wa Poland wajitolea kuwasaidia wakimbizi wa Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wakazi wa Poland wamejitokeza kuwasaidia wakimbizi wanaovuka mpaka kutoka Ukraine kwa kuwapatia makazi katika nyumba zao na huduma za msingi.