Wakazi wa Ohio wapinga marekebisho ya katiba kupitia kura ya Jumannne
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki hii tunaangazia wapiga kura wa jimbo la Ohio ambao katika kura ya Jumanne wamepinga pendekezo lililopewa jina Issue 1, ikiwa na maana kwamba wamekataa marekebisho ya katiba ambayo yangefanya iwe vigumu kufanya marekebisho zaidi kwenye katiba ya jimbo hilo katika siku za nyuma.