Wakazi wa Goma wanahitaji msaada wa dharura haraka
Your browser doesn’t support HTML5
Watu 15 Goma wanaripotiwa kuuwawa na volcano na msaada wa chakula unahitajika kwa haraka kufuatia mlipuko wa volcano ambapo baadhi yao hawana sehemu ya kuishi.
Your browser doesn’t support HTML5