Wakazi wa Goma waliokimbia maeneo yao wakabiliwa na hali ngumu

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa Goma waliokimbilia maeneo tofauti ikiwemo Rwanda kutokana na mlipuko wa volcano na matetemeko ya ardhi wakabiliwa na hali ngumu ya kimaisha.