Wakazi wa Chato wamlilia hayati Magufuli

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa Chato wamejitokeza kwa wingi kuupokea mwili wa hayati John Pombe Magufuli, huku wakiwa na simanzi na majonzi makubwa.