Wakazi Tanzania waeleza tatizo la maji na umeme linavyoathiri uchumi

Your browser doesn’t support HTML5

Tatizo la maji na umeme linaloikabili Tanzania linaelezwa kuchangiwa na ukame uliyoikumba eneo kubwa la Afrika Mashariki na wakazi nchini Tanzania wanaeleza linavyoathiri shughuli za uzalishaji.