Wajumbe wawili wa India wakutikana na COVID-19 London
Your browser doesn’t support HTML5
Wasiwasi ulizuka kwenye mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi Tajiri duniani (G7) baada ya wajumbe wa India kushindwa kuhudhuria kikao baada ya kukutikana na maambukizi ya COVID-19.