Wajasiriamali Mombasa wauza pikipiki mpya rafiki kwa mazingira

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana wajasiriamali waleta mapinduzi makubwa katika soko la bajaji mjini Mombasa, Kenya ambapo wanauza bajaji mpya zinazotumia umeme zinazogharimu takriban dola 4,000.

Mjasiriamali anaeleza kuwa TukTuk hizi mbali na kupunguza gharama ya mafuta kwa vijana wanaozinunua pia zitaleta mabadiliko makubwa katika kulinda mazingira na ni Rafiki kwa mazingira