Zulia Jekundu : Waitaliano weusi waanzisha kipindi kipya cha televisheni, Zero
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki iliyopita, kwa mara ya kwanza kabisa, wataliano waliangalia kitu ambacho hawajawahi kukiona hapo kabla – vipindi vya televisheni ambavyo waigizaji ni wataliano Weusi wenye asili ya kiafrika.