Waislamu ulimwenguni washerehekea Sikukuu ya Eid el Fitr

Your browser doesn’t support HTML5

Waislamu kote ulimwenguni wanasherehekea Sikukuu ya Eid el Fitr kuadhimisha kumalizika kwa kipindi cha mfungo wa Ramadhan.

Rais wa Marekani Joe Biden asisitiza Israel yatakiwa kuchukua hatua kuhakikisha misaada inaingia Gaza.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari