Waislam Kenya waingia katika saumu chini ya amri kali

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Waislam ulimwenguni wakianza mfungo wa Ramadhani, waumini nchini Kenya wameanza saumu katika hali ngumu ya amri ya kutotoka nje usiku ili kudhibiti COVID-19.