Waislam wa Kenya waeleza sikukuu ya Idd itavyokuwa na changamoto

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati dunia ikijiandaa na sherehe za kuadhimisha kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Waislam wa Kenya waeleza hali ngumu ya maisha inayowakabili kutokana na mfumuko wa bei ya chakula na bidhaa nyingine.