Waislam duniani waadhimisha sikukuu ya Eid el Fitr

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya na nchi nyingine duniani wamekamilisha mfungo wa mwezi wa Ramadhan na kusherehekea sikukuu ya Eid el Fitr.

Milio ya risasi na milipuko imeendelea kusikika mjini Khartoum Ijumaa katika mapigano baina ya jeshi la Sudan na kundi hasimu la wanamgambo kwa siku ya saba.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari