Wahusika wa shambulizi la kigaidi West Gate wakutikana na makosa
Your browser doesn’t support HTML5
Mahakama nchini Kenya imewakuta na hatia wanaume wawili waliohusika na shambulizi la kigaidi katika maduka ya kifahari ya West Gate, Nairobi, mwaka 2013.