Wahandisi wanawake waeleza ufinyu wa fursa za sayansi kwa wanawake Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Jukwaa la wahandisi wanawake Tanzania laeleza kero yake katika kongamano lililohudhuriwa na Waziri Mkuu kuhusu nafasi ya wanawake katika fani mbalimbali za sayansi.