Wahandisi Kenya wabuni mkono wa bandia

Your browser doesn’t support HTML5

Wahandisi nchini Kenya wamebuni mkono wa bandia unaotumia mawasiliano ya umeme na ubongo kupitia kifaa kinacho valiwa kichwani huenda teknolojia hii itakuwa ni faraja kubwa kwa watu wenye ulemavu.