Wahamiaji wasubiri hatma ya maombi ya kuingia Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Kwenye mpaka wa kusini wa Marekani na Mexico maelfu ya familia za wahamiaji wanasubiri hatma ya maombi yao ya kuingia Marekani baada ya Rais Biden kuingia madarakani.