Wagombea uteuzi wa urais wa Chama cha Republican wafanya mdahalo wa kwanza
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki hii kwenye Washington Bureau tunaangalia warepublican wanane ambao wanawania uteuzi wa kugombea urais wa Marekani waliokuwa kwenye jukwaa moja Jumatano usiku huko Wisconsin kwa mdahalo wa kwanza wa chama chao kabla ya uchaguzi wa mwaka 2024.