Wafungwa Kenya wafarijika kuwasiliana na ndugu zao kwa njia ya mtandao

Your browser doesn’t support HTML5

Wafungwa katika Gereza la Nakuru, Kenya wafarijika kwa kupata fursa ya kuwasiliana na ndugu zao kwa mtandao baada ya miaka miwili bila mawasiliano kutokana na masharti ya COVID-19.