Wafuasi wa Trump bado wadai kura za Uchaguzi wa rais zimeibiwa

Your browser doesn’t support HTML5

Mamia ya wafuasi wa Rais Donald Trump waandamana mjini Washington, DC wakiendelea kupaza sauti kutoridhishwa na matokeo ya Uchaguzi.